KANSAI AIRPORT NI MOJA KATI YA VIWANJA VYA NDEGE VYA MAAJABU


image

UWANJA HUO UPO BAHARINI UNA MILES 2.5 NA UREFU WA FUTI 4000 NA FUTI 60 KUTOKA INCHI KAVU MPAKA MAJINI AMBAPO NDIO UWANJA HUO ULIPO ,UWANJA HUU ULOZINDULIWA MWAKA 1994 UJENZI WAKE ULIANZA MWAKA 1987, UWANJA HUU UPO KATIKA NCHI YA JAPAN

image

PIA NI MOJA KATI YA VIVUTIO VYA ENEO HILO

Posted from WordPress for Android,by hailedavy

Advertisements