KIM KARDASHIAN AKERWA NA UBAGUZI WA RANGI ALIOTOLEWA KANYE WEST NCHINI AUSTRIA.


larrybway91

A trooper: Though he had insulted her, the Kardashian Kollection designer still took Lugner's arm as they walked into the event with mom Kris Jenner to her left

Kim K na Richard Lugner.

Mwanamitindo mrembo anayetokea katika familia ya Kardashian,  Kim K, alikumbwa na tukio lilionekana kumkera la ubaguzi wa rangi aliotolewa baba watoto wake, Kanye, baada ya kualikwa na bilionea Richard Lugner kwa kulipwa dola za kimarekani 500,000kwa ajili ya kuhudhuria hafla maalum  ya usiku ‘lavish ball’ iliyofanyika katika mji wa Vienna ,  Austria.

Taarifa zinadai kuwa Kim alimpotezea mwanaume mmoja aliyekuwa amevalia kinyago cheusi kisha kumtolea maneno ya kibaguzi  baba watoto wake, rapa Kanye west,alipokuwa akipiga picha na bilionea Lugner ambaye amekuwa na utaratibu wa kualika warembo mbalimbali Dunia kwa ajili ya hafla hizo zinazofanyika kila mwaka .

Haikuishia hapo, kwani baada  kukataa ombi la kucheza na jamaa mwingine aliyemwambia kama wangeweza kucheza wote endapo bendi ingepiga kibao cha ‘Niggers in Vienna’ ikiwa kama dongo la kibaguzi kwa nyimbo ya ‘Niggers in Paris’ alichoimba  Kanye West na  Jay Z.   ”Kim ameniuzi”,  alisema Lugner alipofanyiwa…

View original post 17 more words