WASANII WA HIP-HOP NCHINI , MH.JANUARY MAKAMBA NA SUGU WATOA NYIMBO INAYOSHINIKIZA SANAA KUTAMBULIKA KAMA SEKTA RASMI.


larrybway91

Tanzania HipHop Stars - Haki. Wasanii wa muziki wa Hip Hop nchini, wameungana na waheshimiwa wabunge wawili,  January Makamba na mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi ei kei ei SUGU, kwa pamoja wameachia  nyimbo maalum inayoshinikiza katiba iweze kuitambua sanaa  kama sekta rasmi

HAKI ndio jina la wimbo wenyewe uliopikwa katika studio za Bongo Records chini ya Producer P-Funk Majana ulioshirikisha vichwa 13  kama vile Nikki wa pili, Quick Rocka, Mwana FA, Professor Jay, Gosby, Danny Msimamo, Fid Q, Joh Makini, G-Nako na Kala Pina…Usikilize hapa chini

View original post

Advertisements