WATU WAWILI WAUWAWA NAIROBI KISA MAPENZI


image

KATIKA MAENEO YA KARIOBANGI HUKU JIJINO NAIROBI NCHINI KENYA WATU WAWILI WAMEUAWA KISA MAPENZI YA WIZI , AMBAPO INASEMAKANA KUWA KIJANA MWENYE MKE ALIPOKUWA AKITOKA MIANGAIKONI ALIKUTA MKE WAKE NA MWANAUME MWINGINE KITANDANI WAKIFANYA MAPENZI ,NDIPO JAMAA HUYO ALOAMUA KUPAMBANA NA JAMAA ALIYEIBA MKE WA WATU ALIFANIKIWA KUKIMBIA NA AKAAMUA KUKODI GROUP LA MAJAMBAZI ILI WAKAUE JAMAA MWENYE MKE, INSPECTOR WA POLISI ENEO HILO BWANA BOSS BENSON KIBUE ALISEMA KUWA “VIFO VISABABISHWAVYO NA MTANDAO WA KIMAPENZI VINAMALIZA VIJANA WENGI WA NAIROBI NA NCHINI KENYA KWA UJUMLA ” PIA KIFO KINGINE KILITOKEA JANA USIKU KISA IKIWA NI MAPENZI YA WIZI..

Posted from WordPress for Android,by hailedavy

Advertisements