WEMA ATOA TANGAZO LA KUTAFUTA WATOTO WENYE KIPAJI CHA KUIGIZA


image

WATOTO WANAO HITAJIKA NI WALE WENYE UMRI KUANZIA MIAKA 4-15 WA JINSIA YOYOTE INGAWA BADO HATUJAELEZWA IDADI YA WATOTO WANAO HITAJIKA MPAKA SASA NI WANGAPI.

image

HILO NDILO TANGAZO LENYEWE HAPO JUU..

Posted from WordPress for Android,by hailedavy

Advertisements