SHY-ROSE AIOMBA SERIKALI YA TANZANIA KUWEZESHA WATANZANIA WAIFAHAMU EAC NA FAIDA ZAKE


Katibu wa Wabunge wa Tanzania Katika Bunge la Afrika Mashariki, Mhe. Shy-Rose Bhanji (pichani) amerejea nchini baada ya ziara ya siku 10 ya Wabunge wa EALA nchini Kenya na hicho ndicho alichokisema kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nimerejea nchini baada ya ziara ya siku 10 nchini Kenya. Ziara hii ya wabunge wa EALA ilikuwa kwa mwaliko wa Serikali ya Kenya lengo likiwa… Continue reading SHY-ROSE AIOMBA SERIKALI YA TANZANIA KUWEZESHA WATANZANIA WAIFAHAMU EAC NA FAIDA ZAKE