SNOOP DOGG AMALIZA BIFU NA BILIONEA OPRAH WINFREY IKIWA NI MARA YA KWANZA KUKUTANA.


Originally posted on larrybway91:
Supastaa Snoop Dogg wa Marekani ameweka kando tofauti zilizokuwepo kati yake na mtangazaji wa kipindi cha OWN, Bilionea Oprah Winfrey, walipokutana kwa mara ya kwanza kwenye pati ya Oscar na¬† kuamua kutokelezea¬† katika picha ya pamoja na baadae kuziposti kwenye akaunti zao za Instagram. Wawili hao waliwahi kuingia kwenye vita ya maneno katika kipindi cha miaka ya 2007, huku sababu ikitajwa… Continue reading SNOOP DOGG AMALIZA BIFU NA BILIONEA OPRAH WINFREY IKIWA NI MARA YA KWANZA KUKUTANA.