BEYONCE ATOA KALI BAADA YA KURUSHIWA WIGI NA SHABIKI WAKE.


Originally posted on larrybway91:
Diva anayetamba na ngoma ya ‘Drunk In Love’ ,  Queen Bey, akiongozana na Baba mtoto wake, rapa Jay Z, alikumbwa na tukio la aina yake baada ya kurushiwa nywele bandia(Wigi) na shabiki wake mmoja alipokuwa akiperform katika tamasha lake la muziki kwenye ukumbi wa 02 Arena uliopo London nchini Uingereza na kumrudishia kwa kumuambi, ”unataka nichukue wigi lako, nichukue wigi!” unaweza… Continue reading BEYONCE ATOA KALI BAADA YA KURUSHIWA WIGI NA SHABIKI WAKE.