BEYONCE ATOA KALI BAADA YA KURUSHIWA WIGI NA SHABIKI WAKE.


larrybway91

Beyonce and Jay Z leaving the Movida club

Diva anayetamba na ngoma ya ‘Drunk In Love’ ,  Queen Bey, akiongozana na Baba mtoto wake, rapa Jay Z, alikumbwa na tukio la aina yake baada ya kurushiwa nywele bandia(Wigi) na shabiki wake mmoja alipokuwa akiperform katika tamasha lake la muziki kwenye ukumbi wa 02 Arena uliopo London nchini Uingereza na kumrudishia kwa kumuambi, ”unataka nichukue wigi lako, nichukue wigi!”

unaweza ukatazama jinsi ilivyokuwa

View original post

Advertisements