LORD EYEZ KUHUSISHWA TENA KATIKA KESI YA WIZI


image

Hii imekua ni Mara ya pili sasa tokea litokee tukio la mwaka Jana(2013) ambalo msanii lord eyez alihusishwa katika tukio la wizi wa mari za msanii mwenzake yaani Ommy dimpoz ,sasa hii Lord Eyez kahusishwa katika tukio la wizi lililotokea ARUSHA..

Posted from WordPress for Android,by hailedavy

Advertisements