VIMBWANGA : LUPITA NYONG’O NA JENNIFER LAWRENCE WAZICHAPA KISA TUZO YA OSCAR.


Originally posted on larrybway91:
Muigizaji wa kike mahiri, mrembo na anayejua kuvaa nguo zinazoendana na mwili wake,¬† Lupita Nyong’o, alishuhudiwa na umati wa watu akitangazwa mshindi katika kipengele cha ‘Best Supporting Actress’ kupitia filamu aliyocheza ya ’12 years a slave’ kwenye tuzo kubwa na maarufu za Oscar usiku wa jumamosi, huku akimbwaga muigizaji¬† maarufu, Jennifer Lawrence aliyeigiza filamu ya America Hustle. Ukiachilia mbali na tuzo… Continue reading VIMBWANGA : LUPITA NYONG’O NA JENNIFER LAWRENCE WAZICHAPA KISA TUZO YA OSCAR.