VIMBWANGA : LUPITA NYONG’O NA JENNIFER LAWRENCE WAZICHAPA KISA TUZO YA OSCAR.


larrybway91

Jennifer Lawrence and Lupita Nyong'o at the 2014 Oscars in Hollywood, California on March 2, 2014 Muigizaji wa kike mahiri, mrembo na anayejua kuvaa nguo zinazoendana na mwili wake,  Lupita Nyong’o, alishuhudiwa na umati wa watu akitangazwa mshindi katika kipengele cha ‘Best Supporting Actress’ kupitia filamu aliyocheza ya ’12 years a slave’ kwenye tuzo kubwa na maarufu za Oscar usiku wa jumamosi, huku akimbwaga muigizaji  maarufu, Jennifer Lawrence aliyeigiza filamu ya America Hustle.

Ukiachilia mbali na tuzo aliyopata, Lupita ni mtu anayependa sana kucheza na ni mwingi wa utani, hivyo hakuona shida kutaniana na staa mwenzake Jennifer  na kuwafanya baadhi ya watu waliokuwepo  kuacha shughuli zao na kuanza kuwatazam wakihisi labda wawili hao wameamua kuchenjiana. Ebu waone mwenyewe…

http://static.wetpaint.me/oscars/ROOT/photos/630/476396111-2-1393866912.jpg

Utani ukaendelea mpaka kufikia hapa

Jennifer Lawrence and Lupita Nyong'o Hold Hands at the 2014 Oscars in Hollywood, California on March 2, 2014

Ulikuwa ni utani tu jamani, sisi ni marafiki .

View original post

Advertisements