VIDEO : USAIN BOLT ADATISHWA NA NYONGA ZA WATOTO WA KITRINIDAD


Originally posted on larrybway91:
Mwanaradhia nyota  anayeshikilia rekodi ya dunia kwa wakimbiaji wa mbio fupi, mjamaika Usain Bolt, alifumwa na kamera za mapaparazi katika visiwa vya Trinidad eneo la Carnival akibanjuka na warembo waliokuwa wakimkatia nyonga mithili ya nyoka aliyemwagiwa petroli huku akiwa hana habari.. Tusichoshane, ebu fanya kutazama picha na Video uone jinsi mambo yalivyokuwa Continue reading VIDEO : USAIN BOLT ADATISHWA NA NYONGA ZA WATOTO WA KITRINIDAD