BAADA YA KIMYA KIREFU ROMA AJA NA TRACK MPYA IITWAYO K.K.K


image

ROMA NI MOJA KATI YA WASANII AMBAO HUTOA SONG CHACHE SANA KWA MWAKA KWA MAKADILIO NI NGOMA MOJA KILA MWAKA . WIMBO HUU WA K.K.K UTATOKA RASMI TAREHE 10MARCH2014 , IKUMBUKWE KUWA TANGU MWISHONI MWA 2012 ALIPOTOA TRACK YA 2030 NDIO SASA ITAFUATA HII YA K.K.K.

image

Posted from WordPress for Android,by hailedavy

Advertisements