BRANDON HOWARD NI MTOTO WA KING OF POP (M_J) ALIYESAHAULIKA, SOMA HABARI KAMILI HAPA ULIJUE HILO


image

BRANDON HOWARD JANA ALHAMIS TAREHE 6MARC2014 ALIPELEKA MAJIBU YA DNA KATIKA FAMILIA YA MSANII MICHAEL JOH JACKSON (MJ) YALIYO KUWA YANA PRUVU KUWA BRANDON NI MTOTO WA MJ KWA ASILIMIA 99.99 (99.99%) .. BACK IN HISTORY MAMA MZAZI WA BRANDON AITWAE MIKI HOWARD ALIKUTANA KWA MARA YA KWANZA NA MSANII MWENZAKE YANI MICHAEL MNAMO MIAKA YA 80(80’s) HIVI, INGAWA MWAKA 1981 WALIANZA MAHUSIANO RASMI NA KUFIKIA 1982 BRANDON ALIZALIWA NA MIKI AJULIKANAE PIA KWA JINA LA BILLIE ALIMUELEZA MICHAEL JAXON KUWA ANA UJAUZITO WAKE ALIGOMA MJ NA PIA BAADA YA MTOTO KUZALIWA NAPO PIA ALIGOMA NA KUMKANA MTOTO HUYO NA NDIPO AKATRNGENEZA HIT SONG IITWAYO “BILLIE JEAN “ AMBAYO ILIONGELEA SUALA HILO.. BRANDON ANA MIAKA 31 SASA PIA ANAFANYA UIMBAJI KAMA ILIVYO KUWA KWA BABA NA MAMA YAKE (MIKI HOWARD&MICHAEL JACKSON)

https://www.youtube.com/watch?v=Ia4BsPCYL-U&feature=youtube_gdata_player     HIYO NI INTERVIEW ALIYO IFANYA MWAKA MMOJA ULIOPITA AKIONGEA JUU YA SUALA LA YEYE NA MJ

image

Posted from WordPress for Android,by hailedavy

Advertisements