MTU MMOJA AJARIBU KUMUUA MKEWE KWA KUTUMIA PETROL


image

Kijana mmoja jina tunahifadhi aishie maeneo ya nyeri nchini Kenya alitaka kumuua mke wake kwa kutumia petroleum kisa eti mwanamama huyo alikuwa NI mzigo kwake kumbe alitaka kumuua ili Chuki zake kwa mkewe iwe mwisho ,, Dada huyo yupo Hospital mpaka sasa na jamaa ana shililiwa na police WA area ya NYERI..

Posted from WordPress for Android,by hailedavy