FUNUNU: INASEMEKANA KUWA STAR JUSTINE BIEBER NDIE ATAKAE FANYA MUENDELEZO WA FAST&FURIOUS7 KATIKA MWAKA HUU


BAADA YA KUFALIKI KWA AJARI MBAYA THE LATE PAUL WALKER ,, SASA KUNAFUNUNU KUWA ETI SINGER JUSTINE BIEBER NDIO MTU ATAKAE MALIZIA MOVIE YA FAST & FURIOUS 7 NDANI YA 2014, INGAWA HAIJA FAHAMIKA KUA KATIKA MOVIE ATA ACT KAMA NI MTOTO WA PAUL WALKER AU ATA ACT KAMA MDOGO WA ACTOR PAUL WALKER AMBAE KWA SASA NI MAREHEMU.. Posted from WordPress for Android,by hailedavy Continue reading FUNUNU: INASEMEKANA KUWA STAR JUSTINE BIEBER NDIE ATAKAE FANYA MUENDELEZO WA FAST&FURIOUS7 KATIKA MWAKA HUU