TANGAZO :.KULALA JIRANI NA SIMU ZA MKONONI NI HATARI ZINALETA UGONJWA WA BRAIN TUMOR (CANCER YA UBONGO )


Mchezo wa vijana kulala wakiwa wameacha simu zao on (bila kuzima ) sio mzuri. Angalizo kama utoizima basi yakupasa kuiweka mbali na kichwa chako. UGONJWA huu wa BRAIN TUMOR ni HATARI sana na pia unauua na umeshaua watu wengi sana Duniani hususani VIJANA maana wao ndio walengwa wakubwa wa matatizo na michezo ya kulala na simu huku wakijiita #TEAM_POPO Ikimaanisha WAZEE WA MKESHA (ANT-SLEEP) Pia … Continue reading TANGAZO :.KULALA JIRANI NA SIMU ZA MKONONI NI HATARI ZINALETA UGONJWA WA BRAIN TUMOR (CANCER YA UBONGO )