TANGAZO :.KULALA JIRANI NA SIMU ZA MKONONI NI HATARI ZINALETA UGONJWA WA BRAIN TUMOR (CANCER YA UBONGO )


image

Mchezo wa vijana kulala wakiwa wameacha simu zao on (bila kuzima ) sio mzuri. Angalizo kama utoizima basi yakupasa kuiweka mbali na kichwa chako. UGONJWA huu wa BRAIN TUMOR ni HATARI sana na pia unauua na umeshaua watu wengi sana Duniani hususani VIJANA maana wao ndio walengwa wakubwa wa matatizo na michezo ya kulala na simu huku wakijiita #TEAM_POPO Ikimaanisha WAZEE WA MKESHA (ANT-SLEEP)

image

Pia suala la kutumia SIMU huku unasogeza kwa skio yako sio nzuri that’s why kuna vifaa maalum kama vile HEADPHONES NA HEARPHONES ,ambavyo umkinga mtu na mionzi ya SIMU (PHONE RAY’S ) ambayo ushambulia UBONGO na kuuathiri vibaya

image

Inaonyesha takwimu ya watu wapatao magonjwa hayo

image

Yakupasa pia kuweka mbali na watoto: BRAIN TUMOR INAUWA NA NIHATARI. IMETOLEWA NA  Wotld health Department (WHD)

Posted from WordPress for Android,by hailedavy