MTAZAME “Lameck Ditto akiongelea kampuni yake, ukulima na sababu za ukimya” on YouTube


Unaweza ukawa hujamsikia Lameck Ditto kwa muda mrefu, lakini muimbaji huyo wa THT anaendelea kufanya mambo makubwa. Kwa sasa akishirikiana na Amini, wanamiliki kampuni ya masuala ya ubunifu na matangazo ambayo inafanya kazi na makampuni makubwa nchini. “Hata nisiposikika sauti yangu kwenye redio, vipo vitu vingine chini ambavyo naendelea navyo lakini ndani ya muziki humo humo,” Ditto ameiambia Bongo5. “Ninayo kampuni ambayo tunashare mimi na … Continue reading MTAZAME “Lameck Ditto akiongelea kampuni yake, ukulima na sababu za ukimya” on YouTube

Mtandao Mpya wa Mawasiliano ya SIMU za mkononi waanzishwa Leo jijini Daresalaam uitwao Smart Telecom.


Mtandao mpya wa mawasiliano ya simu ‘Smart Telecom’ umezinduliwa leo jijini Dar es salaam katika Hotel ya Serena ambapo msanii wa vichekesho nchini Hemed Maliyaga maarufu kwa jina la Mkwere amechukua nafasi ya ubalozi hapa nchini. Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Smart East Africa, abellatif bouzian akizungumza Akizungumza na waandishi wa habari, Mtendaji mkuu wa Smart Telecom, Abdellatif Bouziani amesema mtandao huo ulipewa jina na Wanaafrika … Continue reading Mtandao Mpya wa Mawasiliano ya SIMU za mkononi waanzishwa Leo jijini Daresalaam uitwao Smart Telecom.