RAIS WA COLOMBIA AJISAIDIA WAKATI WA HOTUBA. “Se orina el presidente Santos en el lanzamiento de” on YouTube


Rais wa Colombia, Juan Manuel
Santos amezindua kampeni ya
uchaguzi wa Urais kwenye jiji la
Barranquilla, lakini wakati akihutubia,
janga likamtokea.
Rais huyo alikuwa akihutubia kwa
mzuka kabla ya kujikojolea
hadharani na kila mtu akiona japo
hakusitisha hotuba hiyo.

image

Video yake
imekuwa maarufu tayari mtandaoni.
Hata hivyo Rais huyo amekanusha
kuwa na matatizo ya kiafya.
Ametumia mtandao wa Twitter
kuwashakuru wananchi wa Colombia
kwa kumuelewa licha ya aibu hiyo.
Rais huyo mwenye miaka 62 aliwahi
kufanyiwa upasuaji kutokana na
saratani korodani (prostate cancer).

Posted from WordPress for Android,by hailedavy

Advertisements