TAZAMA KICHUPA”BIRAKAZE BY ALPHA ft KIDUM Official Video Produced by David Knock Videos” on YouTube


image

Aliyekuwa mshindi wa msimu wa
tatu wa shindano la Tusker Project
Fame, Alpha Rwirangira wa Rwanda,
ameachia video na wimbo wake
mpya aliomshirikisha mwanamuziki
wa Burundi, Kidum. Wimbo unaitwa
Birakaze.

Posted from WordPress for Android,by hailedavy

Advertisements