KICHUPA:”Bado – King Poza & Kira feat Rico single” on YouTube


Posted from WordPress for Android,by hailedavy

Advertisements

TWIGA AAGA MWILI WA MAREHEMU KWA KUTOA BUSU KAMA SALAMU ZA MWISHO KWA ALIYEKUWA MFANYAKAZI WA ZOO


image

Twiga akitoa salamu za mwisho kwa
kumbusu Mario aliyelala kwenye
kitanda.
Tukio hili linaweza kuwa ni geni kwa
baadhi ya watu ila ukweli ni
kwamba, Wanyama nao
wanaufahamu kama wa binadamu
ingawa sio kwa kiwango kikubwa,
hiyo inatokana na aliyekuwa
mtunzaji wa wanyama katika zoo ya
Diergaarde Blijdorp iliyopo katika mji
wa Rotterdam nchini uholanzi kwa
kuagwa na wanyama aliokuwa
akiwahudumia lkwenye kituo hicho
kwa muda mrefu kabla ya kuugua
maradhi ya ugonjwa wa kansa
yaliyomfanya apooze na kuwa mtu
wa kulala kitandani muda wote.
Mario mwenye umri wa miaka 54
alipata nafasi ya kuagwa na
wanyama baada ya kuiagiza
hospitali aliyokuwa akipatiwa
matibabu kumpeleka akiwa kwenye
kitanda ili aweze kuaga kabla ya
mauti kumkuta, katika hali ya
kushangaza, mnyama jamii ya Twiga
alionyesha upendo wa hali ya juu
kwa kumbusu mfanyakazi huyo ikiwa
kama ishara ya kuagana nae.

image

Posted from WordPress for Android,by hailedavy

KICHUPA “Morgan Heritage – Perform and Done – Maxfield Avenue Riddim – Seani B & Don Chandler – March 2014” on YouTube



Brand new single from The Royal
Family of Reggae Morgan Heritage!
Check out “Perform and Done” below,
a tune recorded on a new Roots
Riddim called “Maxfield Avenue” ,
produced by Seani B and Don
Chandler !
Available soon on iTunes!

Posted from WordPress for Android,by hailedavy

STORY KUHUSU TAMASHA KUBWA LA REGGAE DUNIANI LIITWALO”Reggae Sun Ska 16ème édition – LE FILM – Pauillac (Médoc) 2013- 2014″ on YouTube



March 20th, 2014, by Reggaelize it! –
Events
In about ten years Reggae Sun Ska
became one of the biggest reggae
festival in France and Europe . Reggae
Sun Ska defends reggae in all its
forms from roots to ska, dancehall,
new roots and dub . We invite you to
leap into this Caribbean culture in a
unique place !
The festival takes place in Bordeaux
greatest city of wine in the south
west of France, 2 hours from London,
20 minutes from the international
airport and 45 minutes from the
Ocean ! The greatest place to savor
reggae and its good vibes ! New
features for 2014 : 2 new stages
dancehall and dub (a total of 6) and
four non-stop days of concerts ! A
reception area with 10 hectares of
greenery will be at your disposal for a
green and sunny time !
Since 17 years we’re happy to
propose you a quality line up with
artists from all over the world,
international stars but new national
and local band too. So we’re waiting
for you this year with more than 80
bands from July 31st to August 3rd
on the Campus of Bordeaux
(FRANCE) to celebrate this 17th
edition !
First Confirmed Artists:
SHAGGY (JA)
TIKEN JAH FAKOLY (CI)
DANAKIL (FR)
BEENIE MAN (JA)
BUSY SIGNAL (JA)
NAÂMAN (FR)
PROTOJE & THE
INDIGGNATION (JA)
CHRONIXX (JA)
KABAKA PYRAMID & THE
BEBBLE ROCKERS (JA)
THE CAT EMPIRE (AUS)

image

Posted from WordPress for Android,by hailedavy

TAZAMA KICHUPA”JAMAICA TOWN – Ninjaman [OFFICIAL VIDEO] March 2014″ on YouTube



Ninja Man drops the music video of
“Jamaica Town” in collaboration with
Downsound Records, a track that has
been waving on the radio stations
throughout the island and will
probably go to the top of the charts
all over the world.
Check it!
1
Share

Posted from WordPress for Android,by hailedavy

BAADHI YA YALIOJIRI KATIKA BUNGE LA KATIBA LEO 21MARCH2014


image

NI SAA 9 NA DAKIKA 50
VIONGOZI WA KITAIFA
WAMEANZA KUINGIA
BUNGE LA KATIBA
Viongozi wa Serikali
wanaingia,Rais Mstaafu wa
Zanzibar Mh:KARUME
SASA ANAINGIA RAIS MSTAAFU
ALLY HASAAN MWINYI..
Anaingia J aji Mkuu Mstaafu wa
Zanzibar Mh:Makungu
Anaingia Jaji Mkuu wa Tanzania
Chande Othuman,.
Anaingia Rais wa Zanzibar
Mh:Ally Mohamed Shein
Anaingia Makamu wa Rais
Mh;Bilal
HIVI SASA NI SAA 10:000 KWA
SAA ZA HAPA TANZANIA
MH:RAIS WA JMT KIKWETE
ANAINGIA AKIWA
AMEONGOZANA NA
MWENYEKITI WA BUNGE LA
KATIBA MH:SAMWEL SITTA.
Saa 10:01 Mwenyekiti wa Bunge
Maalumu la Katiba Mh:Samwel
Sitta anaomba Dua Maalumu ya
Bunge.
Saa 10:03 Mwenyekiti wa Bunge
Maalumu anasoma Itifaki ya
Kutambulisha Viongozi Wakuu wa
Serikali
Wazee Mh:Samweli Malecela na
Pius Msekwa.
Watu Mashuhuri yupo Mama
Maria Nyerere(Mke wa Muasisi
wa Nchi hii Hayati Julius
Kambarage Nyerere).
Pia Wanawake wa Viongozi
takribani wote wa Viongozi wa
serikali wapo wakiongozwa na
Mama Salma Kikwete.
Wakuu wa Usalama,Meya wa
Manispaa ya Dodoma na Mabalozi
mbalimbali.
SAA 10:07 MWENYEKITI WA
BUNGE MAAALUMU
ANAMSIMAMISHA RAIS WA JMT
AHUTUBIE BUNGE MAALUMU
LA KATIBA.
Saa 10:08 Rais anaanza Kusoma
hotuba yake kwa Kusoma Itifaki
ya Viongozi ndani ya Bunge.
HINTS ZA HOTUBA YA RAIS
MUDA MUDA HUU DODOMA.
>Nawapongezeni kwa Kuwa
sehemu ya Kuandika historia
Mpya kwa Taifa la
Tanzania,Mkitunga Katiba Bora
Majina yenu yataandikwa kwa
Wino wa Dhahabu.
> Naombeni Mtunge Katiba
Itakayo Dumisha Umoja wetu,Asili
zetu,Katiba ambayo
haitatutenganisha kirangi,Kisiasa
au Kiimani.
>Kihistoria hii ni Mara ya 3
Katiba ya Tanzania Inatungwa
Upya,Tofauti na Vipindi
Vingine.Kipindi hiki Utungaji wa
Katiba Umeshirikisha Wananchi
wengi zaidi.
Msukumo Mkubwa sana wa Kudai
Katiba Mpya Ulianza baada ya
Mfumo wa Vyama Vingi,Wengi
walizani kuwa Kudai kudai Katiba
Mpya kutawasaidia Kushinda
chaguzi dhidi ya CCM.La hasha!!!
>Desemba Mwaka 2012
nilitangaza Kuanza Mchakato wa
Kutunga Katiba Mpya,Kazi hii
ilipewa Tume ya Kukusanya
Maoni ya Watanzania..
Mchakato Mzima wa Katiba
Utahitimishwa na Wananachi kwa
Kuipigia Kura ya Maoni kama
wanaikubali Katiba au La!!!
Kitendo cha Mwenyekiti wa Tume
Kuwasilisha Rasimu ya Katiba
Mpya Tar.18/03/2014 hapa
Bungeni,Ilikuwa ndio Mwisho wa
Kazi ya Tume ya Warioba kazi
iliyobakia ni Kwenu Wabunge.
>Naishukuru sana Tume ya
Warioba Rasimu walioitunga
inaleta Mambo mengi kwenye
Katiba Mpya ya Tanzania,Ni
Rasimu Nzuri.
Rasimu inamambo mengi sana .
Naombeni sana Msome Rasimu ya
Katiba Yote kwa Makini,Sio
unafundishwa cha
Kusema,Unafundishwa
Uzungumze nini.Akili za
Kuambiwa Chnganya naza
kwako.
Kama Kuna Jambo halifai kwenye
Rasimu Wajumbe Msisite kulifuta.
Tungeni Katiba ambayo
Watanzania wataipenda,Sio
Mtunge katiba baada ya Muda
Mfupi manataka
kurekebisha,Msitunge Katiba
Mpya isiyoweza Kutekelezeka.
#kikwete Kuna sehemu Rasimu
Inamapungufu sana.,Ibara ya Pili
inaacha Maziwa na Mito kuwa ni
Sehemu ya Tanzania.
MUUNDO WA SERIKALI TATU.
Kuna Mambo yanayopendekezwa
na Tume Mf.Viwanda,Afya n.k
yapo kwenye Serikali ya Nchi za
Ushirika.
Serikali ya Muungano
inahusisha,Katiba,Usalama
(Baadae bado)
Mambo mengi yanatekelezeka
Kupitia Serikali ya Muungano
tuliyo nayo sasa,Rasimu ya
Serikali tatu inawaweka wapi
watumishi?Naomba Msome sana
Rasimu yote.
#KIKWETE Ibara ya 128 inayoleta
dhana ya Kupoteza Ubunge
kutokana na Kutofanya kazzi za
Kibunge kwa Tatizo la Maradhi
au kiuzini kwa Muda wa Miezi
6.Someni kwa Makini kipendele
hiki,Jambo hili liwekwe Vizuri.
Yaani Mbunge augue Miezi sita
Mfululizo eti afukuzwe,Huu ni
Ukatili Usiotakiwa kwenye Katiba
Mpya.
Pia kuhusu Mbunge kuwa
Bungeni kwa Vipindi Vitatu,Sasa
Kama Mtu ameingia akiwa na
Miaka 25 anamaliza akiwa na
Miaka 40.Hii si sawa,Ni
kunyimana Fursa.Hatuwezi
Kupata Viongozi wa
Kutengenezwa kwa Namna
hii,Viongozi watatoka wapi
wakati kila anapofikia hatua ya
Kukomaa Ukomo wake umefika.
#KIKWETE MUUNDO WA
SERIKALI,Hii ndio Ajenda
Mama,Ombi langu Kwenu
Kwanza Muwe watulivu
mnapojadili Swala hili,Mkilijadili
kwa Jazba wenye hasira hawa
Jengi,Wenye hasira
hawatengenezi jambo
Vizuri.Uamuzi usio kuwa sahihi
kwenye Jambo hili Unahasara
Kubwa,Tanzania inaweza kuwa
Nchi iliyojaa Migogoro yenye
Matatizo ambayo hatujawahi
kuwa nayo.
Kudai Serikali tatu sio Jambo
Jipya,Ulikuwepo wakati Wa
Kuunganisha Nchi zetu
Mbili,Wakaamua Serikali mbili.
Imependekezwa Mara Nyingi
lakini Halikukubarika,Bora
Mzungumze kama linakubaliwa
likubaliwe,kama Linakataliwa
Likataliwe.
Waasisi wa TAIFA LETU
Waliamua Kuchagua Muundo wa
Serikali Mbili.
1.Ni muundo Usio Imeza
Zanzibar.
2.Ni Muundo Inayomuepushia
tanganyika Kubeba Muundo wa
Muungano n.k.
Ni vigumu sana Kuacha Kujadili
Figa za Wazee wetu hawa,Wao
ndio Wakwanza kutuletea Mfumo
huu.
Zungumzeni hoja zao,Zungumzeni
muone hoja zao.
Mfanye Maamuni “Informed
Decision” .Wapeni Heshima ya
Kujadili Mawazo yao,Yanani ni
Bora kuliko ya hawa Wazeee??
TUME IMETOA SABABU MBIL ZA
SERIKALI TATU.
1.Ni maombi ya Watanzania
wengi
2.Muundo wa Serikali tatu unatoa
Majibu sahihi ya Changamoto za
Muungano wa sasa.
WAPO WANAOKUBALIANA NA
TUME NA WAPO
WASIOKUBALIANA NA TUME.
(kuna uchambuzi hapa wa Kina
ameufanya,Nitauleta Baadae
tena ameuweka kwa Asilimia)

Posted from WordPress for Android,by hailedavy