TAZAMA Dakika 7 za “Dogo Janja anataka kurudi Tiptop Connection” on YouTube


Hii ni Exclusive interview ya Dogo
Janja on AyoTV ambayo ameamua
kusema ya moyoni kuhusu
kilichotokea baada ya kuondoka
kwenye kundi la Tiptop Connection
pia akaambatanisha na maamuzi
yake ya sasa.
Hakuondoka Tiptop vizuri baada ya
kumshutumu Madee kutompa pesa
za show alizokua anafanya na
kwamba alikwenda hata kwenye
account yake ya benki na kukuta
pesa zote zimechukuliwa.

image

Posted from WordPress for Android,by hailedavy

Advertisements