VIDEO: TAZAMA HUYU MAMA AKIFUNGUKA JUU YA “Athari Za Usagaji” on YouTubeSiku nne baada ya runinga ya
CITIZEN kuangazia kisa cha
msichana mwanafunzi kutoka shule
ya upili ya Loreto kaunti ya Kiambu
anayesemekana kunyanyaswa
kimapenzi na kutakiwa kujiunga na
kundi la wasagaji na wanafunzi
wenzake mapya yameibuka. Wazazi
zaidi wamejitokeza kushutmu kisa
hicho kisa cha kuhuzunisha zaidi ni
kile cha Nancy Mutua ambaye aliaga
dunia mwaka wa 2006 baada ya
kuugua msongo wa mawazo kufuatia
kudhulumiwa na kutishwa wakati
alipokataa kujiunga na kundi la
usagaji shuleni humo. Miaka minane
baadaye na tabia hiyo bado
inaendelea shuleni humo kunani.

Posted from WordPress for Android,by hailedavy