MAMA WA KIM KARDASHIAN ROHO JUU BAADA YA PICHA ZAKE ZA NGONO KUVUJA MITANDAONI


Mama mzazi wa mwanamitindo Kim kardashian, Kris jenner mwenye umri wa miaka 58 amejikuta akikosa amani na furaha baada ya picha zake za utamu alizopiga kipindi cha nyuma kuvuja mitandaoni kwa kasi ya moto wa kifuu huku mwenye nazo akimtishia kuachia mkanda mzima wa uchafu aliokuwa akifanya endapo atakaidi agizo la kumlipa kiasi cha hela anachohitaji. Chanzo kimoja kinachoandika habari za mastaa kilidai kwamba, mtangazaji … Continue reading MAMA WA KIM KARDASHIAN ROHO JUU BAADA YA PICHA ZAKE ZA NGONO KUVUJA MITANDAONI

TAZAMA: ALICHOZUNGUMZA producer Reazy Renegade juu ya Production yake ndani ya Ace Hood Starvation Mixtape Series” on YouTube


We The Best Music producer Reazy Renegade spoke with AllHipHop.com about his most recent work with long time label mate and collaborator, Ace Hood. The pair created Ace Hood’s “Starvation” mixtape series, which has amassed over 1.5 million downloads between the three projects. Reazy Renegade said his chemistry with Ace Hood what any producer could hope for. “Growing together and wanting to give each other … Continue reading TAZAMA: ALICHOZUNGUMZA producer Reazy Renegade juu ya Production yake ndani ya Ace Hood Starvation Mixtape Series” on YouTube

CHINA YAANZA KUCHUNGUZA PICHA MPYA ZA SATELLITE KAMA ZINA UHUSIANO NA NDEGE ILIYO POTEA


China imeanza kuchunguza picha mpya za setilite zinazoonyesha kitu kama mabaki ya ndege kwenye eneo la kusini mwa bahari ya Hindi. Picha hizo ni muhimu kwa ndege ya Malaysia MH370 iliyopotea, maafisa wa Malaysia wanasema. Kaimu Waziri wa Usafirishaji Hishammuddin Hussein amesoma taarifa hiyo baada ya kukabidhiwa ambapo amesema kuna kitu kama mabaki ya ndege chenye ukubwa wa mita 30 kwa 22 kilichoonekana. Amesema serikali … Continue reading CHINA YAANZA KUCHUNGUZA PICHA MPYA ZA SATELLITE KAMA ZINA UHUSIANO NA NDEGE ILIYO POTEA

MAJESHI YA UMOJA WA AFRIKA.WAFANIKIWA KUTEKA MJI WA KORYOLEY ULIOPO NCHINI SOMALIA


Wanajeshi wa Muungano wa Afrika wanameuteka mji muhimu wa Koryoley, ulio umbali wa kilomita 90 Kusini Magharibi mwa mji mkuu Mogadishu. Mji wa Koryoley, umekuwa chini ya udhibiti wa kundi la wanamgambo la Al Shabaab kwa miaka mitano iliyopita. Mwandishi wa BBC aliye katika eneo hilo anasema kulikuwa mlio wa silaha na baadhi ya raia wa mji wamekimbia. Kutekwa kwa mji huo ni ukombozi tangu … Continue reading MAJESHI YA UMOJA WA AFRIKA.WAFANIKIWA KUTEKA MJI WA KORYOLEY ULIOPO NCHINI SOMALIA

PHOTO’$: JENGO LA CLOUDS TV INTERNATIONAL LIPO GHOROFA MOJA CNN ABUDHABI, UAE


Watangazaji wa Clouds FM, Gerald Hando, Ephraime Kibonde na wengine wamealikwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga kwenda kushuhudia mradi mpya wa kampuni hiyo, Clouds TV International jijini Abudhabi katika Muungano wa Falme za Kiarabu, UAE. Kibonde na Hando wakiwa kwenye studio za Clouds TV International jijini Abu Dhabi Kibonde na Hando wakiwa na mtangazaji wa CNN Abu Dhabi Mtangazaji wa CNN … Continue reading PHOTO’$: JENGO LA CLOUDS TV INTERNATIONAL LIPO GHOROFA MOJA CNN ABUDHABI, UAE

PAPA FRANCIS AWAASA KIKUNDI CHA ‘MAFIA ‘KUFANYA TOBA


Mkuu wa Mafia Italia Salvatore Riina:; Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis amewaonya wanachama wa genge la Mafia kwamba watakwenda motoni iwapo hawatatubu dhambi zao. Akizungumza katika sherehe ya maombi ya ndugu na jamaa za waathiriwa wa genge hilo waliouawa nchini Italia,Papa Francis amesema kuwa wanachama wa kundi hilo hawawezi kutumia fedha wanazopata kwenda peponi. Wakati wa ibada hiyo majina ya watu 800 waliouawa … Continue reading PAPA FRANCIS AWAASA KIKUNDI CHA ‘MAFIA ‘KUFANYA TOBA