MAMA WA KIM KARDASHIAN ROHO JUU BAADA YA PICHA ZAKE ZA NGONO KUVUJA MITANDAONI


image

Mama mzazi wa mwanamitindo Kim
kardashian, Kris jenner mwenye umri
wa miaka 58 amejikuta akikosa
amani na furaha baada ya picha
zake za utamu alizopiga kipindi cha
nyuma kuvuja mitandaoni kwa kasi
ya moto wa kifuu huku mwenye nazo
akimtishia kuachia mkanda mzima
wa uchafu aliokuwa akifanya endapo
atakaidi agizo la kumlipa kiasi cha
hela anachohitaji.
Chanzo kimoja kinachoandika habari
za mastaa kilidai kwamba,
mtangazaji huyo wa kipindi cha
‘Keeping up with the Kardashian’
alidhani ni masihara baada ya
kupigiwa simu na mtu
asiyemfahamu siku saba zilizopita
aliyekuwa akitumia zaidi ya namba
mia tofauti akimtaka amlipe hela na
endapo akikaidi basi ataachia
mkanda mzima wa ngono
aliorekodiwa.
Hii ni moja ya picha iliyokuwepo
kwenye kipande cha mkando huo.
Katika kuonyesha hali ya
kushangaza, mtu huyo mwenye huo
mkanda imeonekana akimfuatilia
Jenner kila hatua baada ya
kumtumia ujumbe mfupi wa maneno
uliosomeka ”umependezewa na
mgahawa”? ikiwa ni muda mfupi
tangu atoke kula katika eneo hilo.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka ndani
ya familia ya Kadashian, imembidi
mwanamama huyo kuongeza ulinzi
na kulifikisha suala hilo.mikononi
mwa polisi.

Posted from WordPress for Android,by hailedavy

Advertisements