Maandamano Nchini Algeria kumpinga RAIS bouteflika


Rais Bouteflika Maelfu ya raia wa upinzani nchini Algeria wamehudhuria mkutano mkubwa wa hadhara katika mji mkuu wa Algiers ili kutaka watu wasusie uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi ujao. Vyama vya upinzani vikiwemo vile vya dini vimepinga harakati za rais Abdelaziz Bouteflika kutaka kuliongoza taifa hilo kwa muhula mwingine wa miaka minne. Wanasema kuwa hafai kuliongoza taifa hilo baada ya ugonjwa wa kupooza kumuathiri vibaya mwaka … Continue reading Maandamano Nchini Algeria kumpinga RAIS bouteflika

DIAMOND KUANZA HARAKATI ZA KUVUKA BORDER SASA KUTAKA KUFANYA TRACK NA WA GHANA & WA NAIJA:


Ni ukweli usiopingika kuwa msanii Diamond Platnumz ameendelea kupata mafanikio makubwa kimataifa kupitia hit single yake ya mwaka jana ‘Number 1′ amabayo alikuja kumshirikisha star wa Nigeria Davido katika remix ya wimbo huo. Licha ya video ya ‘Number 1 Remix’ kufanikiwa kushika nafasi ya kwanza katika Top 10 ya kituo kikubwa cha TV cha kimataifa Trace Urban ya Ufaransa, Diamond amesema kwa sasa amekuwa akipokea … Continue reading DIAMOND KUANZA HARAKATI ZA KUVUKA BORDER SASA KUTAKA KUFANYA TRACK NA WA GHANA & WA NAIJA:

ALICHOSEMA NAZIZ.KUHUSU NDOA YAKE KATIKA INTERVIEW NA KITUO CHA NTV “#theTrend: Nazizi, the original Kenyan girl returns” on YouTube


Rapper wa kundi la Necessary Noize la Kenya, Nazizi amekanusha shutuma kuwa aliachana na mume wake wa miaka mitano ili avune mali walizokuwa wanamiliki. Akiongea kwenye kipindi cha The Trend cha NTV ya Kenya jana, Nazizi alidai kuwa kwanza mume wake huyo kutoka Tanzania si tajiri wa Mombasa kama baadhi ya watu wanavyodai. Alisema kuwa waliachana kwa sababu waligundua kuwa hawakuwa na muda wa kutosha … Continue reading ALICHOSEMA NAZIZ.KUHUSU NDOA YAKE KATIKA INTERVIEW NA KITUO CHA NTV “#theTrend: Nazizi, the original Kenyan girl returns” on YouTube

TAZAMA KICHUPA CHA NAVIO “NO HOLDING BACK- NAVIO ft STEPHANIE MING” on YouTube


🇪🇸 JustCarlos Films brings you Navio’s latest triumph. This is the hottest video of the year, done with the effortless style than fans have learnt to expect from Navio. Stephanie Ming features, with TM88 and Kid Class taking the production to new heights. It is the perfect merger between the hottest artist out of Uganda and some of USA’s hottest talents. Posted from WordPress for … Continue reading TAZAMA KICHUPA CHA NAVIO “NO HOLDING BACK- NAVIO ft STEPHANIE MING” on YouTube

TAZAMA TANGAZO JIPYA LA “Beyoncé -ALILOLIFANYA NA Toyota (Official Commercial 2014) HD” on YouTube


Beyoncé amepata mchongo mwingine mkubwa wa tangazo. Baada ya kufanya matangazo ya L’Oreal, Pepsi, na H&M deals, muimbaji huyo wa ‘Drunk in Love’ ameshiriki kwenye tangazo la Toyota. Posted from WordPress for Android,by hailedavy Continue reading TAZAMA TANGAZO JIPYA LA “Beyoncé -ALILOLIFANYA NA Toyota (Official Commercial 2014) HD” on YouTube

VIDEO YA #CHUNABUZI YA SHILOLE (SHISHI-BABY )KUTOKA RASMI J’TATU 24MARCH


Ikiwa ni takribani wiki mbili toka tushuhudie video ya pili kwa mwaka huu (2014) kutoka kwa director Nisher wa Arusha, ya wimbo wa msanii mpya Barakah Da Prince, Usiku wa Jumapili kuamkia Jumatatu (March 24) tutarajie video nyingine mpya ya wimbo wa Shilole ‘Chuna Buzi’. Chuna Buzi itakuwa ni video ya pili ya Shishi baby kufanya na director Nisher baada ya Nakomaa na Jiji. Posted … Continue reading VIDEO YA #CHUNABUZI YA SHILOLE (SHISHI-BABY )KUTOKA RASMI J’TATU 24MARCH

MTV AFRICA MUSIC AWARDS MWAKA HUU 2014 KUFANYIKA DURBAN, SOUTHAFRICA


Tuzo za MTV Africa Music (Awards) mwaka huu zitafanyika kwa mara ya kwanza nchini Afrika Kusini tangu kuanzishwa kwake mwaka 2008. Tuzo zitatolewa June 7. Zitafanyika katika jiji la Durban. Mkurugenzi Mtendaji wa MTV Networks Africa, Alex Okosi Video zitakazoshindana ni zile zilizotoka March 20 mwaka jana hadi March 19 mwaka huu. Tuzo hizo zilianzishwa mwaka 2008 na Abuja, Nigeria. Zilianzishwa kusherehekea muziki wa kisasa … Continue reading MTV AFRICA MUSIC AWARDS MWAKA HUU 2014 KUFANYIKA DURBAN, SOUTHAFRICA