PHOTO’$: JENGO LA CLOUDS TV INTERNATIONAL LIPO GHOROFA MOJA CNN ABUDHABI, UAE


image

Watangazaji wa Clouds FM, Gerald
Hando, Ephraime Kibonde na
wengine wamealikwa na Mkurugenzi
Mtendaji wa Clouds Media Group,
Joseph Kusaga kwenda kushuhudia
mradi mpya wa kampuni hiyo,
Clouds TV International jijini
Abudhabi katika Muungano wa
Falme za Kiarabu, UAE.
Kibonde na Hando wakiwa kwenye
studio za Clouds TV International
jijini Abu Dhabi

Kibonde na Hando wakiwa na
mtangazaji wa CNN Abu Dhabi
Mtangazaji wa CNN aliyepiga picha
na Kibonde na Hando
Studio za kituo hicho kitakachokuwa
kikionekana dunia nzima zipo
kwenye jengo moja zilipo studio za
kituo cha CNN tawi la Abu Dhabi.

Posted from WordPress for Android,by hailedavy

Advertisements