TAZAMA TANGAZO JIPYA LA “Beyoncé -ALILOLIFANYA NA Toyota (Official Commercial 2014) HD” on YouTube


Beyoncé amepata mchongo
mwingine mkubwa wa tangazo.
Baada ya kufanya matangazo ya
L’Oreal, Pepsi, na H&M deals,
muimbaji huyo wa ‘Drunk in Love’
ameshiriki kwenye tangazo la Toyota.

image

Posted from WordPress for Android,by hailedavy

Advertisements