VIDEO YA #CHUNABUZI YA SHILOLE (SHISHI-BABY )KUTOKA RASMI J’TATU 24MARCH


Ikiwa ni takribani wiki mbili toka
tushuhudie video ya pili kwa mwaka
huu (2014) kutoka kwa director
Nisher wa Arusha, ya wimbo wa
msanii mpya Barakah Da Prince,
Usiku wa Jumapili kuamkia
Jumatatu (March 24) tutarajie video
nyingine mpya ya wimbo wa Shilole
‘Chuna Buzi’.

image

Chuna Buzi itakuwa ni video ya pili ya
Shishi baby kufanya na director
Nisher baada ya Nakomaa na Jiji.

Posted from WordPress for Android,by hailedavy

2 thoughts on “VIDEO YA #CHUNABUZI YA SHILOLE (SHISHI-BABY )KUTOKA RASMI J’TATU 24MARCH

Comments are closed.