KOMANDO BINTI (LADY JAYDEE ) ATOA BAADHI YA LYRICS ZA NGOMA YAKE MPYA IITWAYO “NASIMAMA ” KWA WASHABIKI ZAKE KAMA KIONJO CHA TRACK HIYO


Mwanamuziki wa kike nchini, Judith Daines Wambura Mbibo(34) ‘Lady JayDee’ amewaonjesha mashabiki wake ‘chorus’ na ‘verse’ya kwanza ya nyimbo yake mpya itakayotoka hivi karibuni inayoitwa ‘NASIMAMA’ . Staa huyo wa kibao cha Historia anayesifika kwa kuwa na wafuasi wengi kwenye mitandao ya kijamii, aliachia kiitikio pamoja na verse ya kwanza na kuwataka wale wanaopenda kuimba nae wakae tayari muda utakapofika.. Verse 1: Nasimama na Mola … Continue reading KOMANDO BINTI (LADY JAYDEE ) ATOA BAADHI YA LYRICS ZA NGOMA YAKE MPYA IITWAYO “NASIMAMA ” KWA WASHABIKI ZAKE KAMA KIONJO CHA TRACK HIYO

HIKI NDICHO KIRUSI CHENYE UMRI MKUBWA DUNIANI ,KINA UMRI WA MIAKA 30,000


Pichani juu ni kirusi aina ya ‘Pithovirus’ mwenye umri wa miaka 30,000 Inaweza ikawa ni vigumu kuamini ila ukweli ni kwamba, kirusi kipya kikubwa kuwahi kutokea Duniani amegundulika na watafiti eneo la Siberia Urusi baada ya kuishi chini ya barafu kwa takribani karne 300 sawa na miaka 30,000. Anafahamika kwa jina la kisayansi “Pithovirus” amepatikana chini ya ardhi iliyoganda kaskazini mashariki mwa Siberia na kuelezewa … Continue reading HIKI NDICHO KIRUSI CHENYE UMRI MKUBWA DUNIANI ,KINA UMRI WA MIAKA 30,000

Movie ya “RIO 2” yawanyakulisha tuzo ya Heshma waigizaji Jamie foxx & Andy Garcia


Jamie Foxxy, Andy Garcia na washiriki wa filamu ya Rio 2 wakionyesha tuzo na nyota ya heshima waliyotunukiwa na ‘Miami Walk of fame’ Mwanamuziki, mtunzi na mcheza filamu nguli kutoka Marekani, Jamie Foxx anakuwa staa wa kwanza mweusi kutunukiwa tuzo mpya ya heshima ijulikanayo kama ‘Miami Walk of fame’ katika eneo la Bayside MarketPlace huku akiungana na staa Andy Garcia pamoja na washiriki walioigiza kwenye … Continue reading Movie ya “RIO 2” yawanyakulisha tuzo ya Heshma waigizaji Jamie foxx & Andy Garcia