HIKI NDICHO KIRUSI CHENYE UMRI MKUBWA DUNIANI ,KINA UMRI WA MIAKA 30,000


image

Pichani juu ni kirusi aina ya
‘Pithovirus’ mwenye umri wa miaka
30,000
Inaweza ikawa ni vigumu kuamini ila
ukweli ni kwamba, kirusi kipya
kikubwa kuwahi kutokea Duniani
amegundulika na watafiti eneo la
Siberia Urusi baada ya kuishi chini ya
barafu kwa takribani karne 300 sawa
na miaka 30,000.
Anafahamika kwa jina la kisayansi
“Pithovirus” amepatikana chini ya
ardhi iliyoganda kaskazini mashariki
mwa Siberia na kuelezewa kuwa na
madhara kwa binadamu na
wanyama.
Katika uchambuzi wa kina wa kirusi
huyo, ameonyesha kutokuwa na
tofauti kabisa na virusi vikubwa
vilivyowahi kutokea Duniani na hivyo
kufanya idadi ya familia tatu kubwa
ya virusi vikubwa vilivyowahi
kupatikana mpaka leo.
Utafiti wa kisayansa unaonyesha
virusi vinaweza kuishi kwa muda
mrefu sehemu yenye baridi kali kama
ile ya bara la Arctic ambalo hakuna
makazi ya kudumu ya kiumbe
chochote kile.

Posted from WordPress for Android,by hailedavy

Advertisements