KICHUPA: “Lady Gaga – G.U.Y. – An ARTPOP Film” on YouTube


Lady Gaga ameachia video ya wimbo
wake “G.U.Y. (Girl Under You).” Video
imeongozwa na yeye mwenyewe na
ilifanyika kwa siku 6 huko California
kwenye hekalu la Hearst Castle.

Posted from WordPress for Android,by hailedavy

Advertisements