Hukumu ya Kifo yatolewa kwa wafuasi 529 wa Rais Mohammed morsi
Watuhumiwa walihukumiwa kwa makosa kadhaa ikiwemo mauaji ya polisi Mahakama nchini Misri imewahukumu kifo watu 529 ambao wanasemekana kuwa wafuasi wa Rais aliyeng’olewa mamlakani Mohammed Morsi. Watu hao walikabiliwa ma mashitaka mbali mbali yakiwemo mauaji ya polisi pamoja uvamizi dhidi ya polisi. Wafuasi hao wa chama kilichopigwa marufuku, cha Muslim Brotherhood, ni sehemu ya kundi lengine kubwa la watu zaidi ya 1,200 wanaoaminika kuwa wafuasi … Continue reading Hukumu ya Kifo yatolewa kwa wafuasi 529 wa Rais Mohammed morsi