Hii ndio Video ya “Chris Brown – Loyal ft. Lil Wayne, Tyga” ambayo alitoka akiwa Kifungoni on YouTube


image

Mwanamuziki wa miondoko ya R&B
kutoka nchi maandishi matatu ‘USA’,
Chris Brown ameendelea kufunguka
vile anavyojisikia katika kipindi hiki
anachotumikia kifungo chake cha
mwezi mmoja jela kufuatia makosa
aliyofanya alipokuwa Rehab kwa
kudai kujihisi kama vile mnyama
aliyefungiwa kwenye banda lenye
chuma.
Hayo yote yakiwa yanatokea,
haijaathiri kazi zake alizozifanya v
kuendelea kutoka, video mpya ya
‘Loyal’ aliyowashirikisha
wanafamilia wa YMCMB, Lil Wayne
na Tyga tayari imeachiwa mtandaoni
siku ya leo na kuwapa nafasi
mashabiki wa staa huyo kuweza
kuitazama. Icheki hapo chini.

Posted from WordPress for Android,by hailedavy

Advertisements