TAZAMA VIDEO INAYO. YAONYESHA MAANDAMANO YALIYO ONGOZWA NA “Nyota ndogo in coast province” KUPINGA TABIA YA MUSTAPHA COLONEL on YouTube


Muimbaji wa Kenya, Mwanaisha Abdallah Mohamed maarufu kama Nyota Ndogo, ameungana na wanawake wa Mombasa kufanya maandamano ya kupinga udhalilishaji dhidi yao unaofanywa na rapper, Colonel Mustafa ikiwa ni pamoja na kupost kwenye mitandao picha za wanawake wakiwa mtupu. “Mimi naona kama Mustafa anatusi muziki, anatusi wanawake, anatusi mama yake. Kwahiyo Mustafa aombe msamaha kwa wanawake,” alisema Nyota Ndogo. Mustafa anadaiwa kumtumia Huddah Monroe kujipatia … Continue reading TAZAMA VIDEO INAYO. YAONYESHA MAANDAMANO YALIYO ONGOZWA NA “Nyota ndogo in coast province” KUPINGA TABIA YA MUSTAPHA COLONEL on YouTube

QCHILA ASEMA KUWA “SIFANYI MOVIE KUUZA SURA ”


Q Chillah amewataka watu na wadau mbalimbali kutambua kuwa kufanya kwake filamu sio kwa lengo la kuuza sura au kukimbia majukumu yake ya muziki. Kutoka kushoto,Profesa Jay,Adam Kuambiana,JB na Q Chillah wakiwa maeneo ya Coco Beach hivi karibuni Chillah amesema kuna watu wanaodhani uamuzi wake wa kufanya filamu umetokana na kushindwa kufanya muziki. “Hakuna kinachoshindikana katika maisha,” ameiambia Bongo5. “Kama kuna watu muhimu wananiambia nifanye … Continue reading QCHILA ASEMA KUWA “SIFANYI MOVIE KUUZA SURA ”

JAYZ KUMSANUA RAPPER DRAKE KATIKA REMIX YA “WE MADE IT ” NA KUMPA SHAVU BIDADA LUPITA NYONG’O “Jay Electronica – We Made It (CDQ) Ft. Jay-Z.” on YouTube


Jay Z amepata nafasi ya kuwarukia haters wake kwenye remix ya ‘We Made It’ aliyoshirikishwa na Jay Electronica. Kwenye verse hiyo Jay anasema: “Sorry Mrs. Drizzy for so much art talk / Silly me rapping about sh*t that I really bought / While these rappers rap about guns they ain’t shot and a bunch of other silly sh*t that they ain’t got.’ Mashairi hayo yanatokana … Continue reading JAYZ KUMSANUA RAPPER DRAKE KATIKA REMIX YA “WE MADE IT ” NA KUMPA SHAVU BIDADA LUPITA NYONG’O “Jay Electronica – We Made It (CDQ) Ft. Jay-Z.” on YouTube

NDEGE NYINGINE YA SHIRIKA LA NDEGE ZA MALAYSIA AIRLINE YATUA HONGKONG KWA DHARURA


Wakati bado juhudi zinaendelea bila mafanikio za kuitafuta ndege ya Malaysia Airlines aina ya Boeing 777-200 iliyopotea March 8 mwaka huu ikiwa na abiria 239, ndege nyingine ya shirika hilo imelazimika kutua Hong Kong, china kwa dharula baada ya hitilafu za umeme kujitokeza ikiwa safarini. Maafisa wa shirika hilo wameiambia CNN mapema leo kuwa ndege hiyo aina ya Airbus A330-300 iliyokuwa ikitokea Kuala Lumpur kuelekea … Continue reading NDEGE NYINGINE YA SHIRIKA LA NDEGE ZA MALAYSIA AIRLINE YATUA HONGKONG KWA DHARURA

KESI YA OSCAR KUPIGWA KALENDA


Kesi ya mauaji ya mwanariadha mlemavu wa Afrika Kusini Oscar Pistorius imeongezwa muda na sasa itasikilizwa hadi May 16 kwenye mahakama kuu ya Pretoria. Pistorius alimpiga risasi na kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp kwenye Valentine’s Day mwaka jana. Pistorius anajitetea kuwa alidhani Reeva alikuwa kibaka aliyeingia ndani mwake japo serikali inadai hayo yalikuwa mauaji ya kudhamiria ambayo ameyakana. Kesi hiyo itakuwa na tarehe 7 na … Continue reading KESI YA OSCAR KUPIGWA KALENDA