PICHA: LADY GAGA KUWARUDISHA MICHAEL JACKSON, YESU NA GANDHI KATIKA VIDEO YAKE YA G. U. Y


image

image

Mwanamuziki wa pop asiyehishiwa
vituko kutoka nchini Marekani, Lady
gaga ametoa kali ya aina yake kwa
kuigiza kuwarudisha Yesu, Michael
Jackson na aliyekuwa kiongozi wa
wahindi, Ghandi kwenye video yake
mpya ya ‘G.U.Y – an Artpop’ ambayo
imegeuka kuwa gumzo midomoni
mwa watu yenye dakika 11 na
sekunde 49.

Posted from WordPress for Android,by hailedavy

Advertisements