TAZAMA VIDEO INAYO. YAONYESHA MAANDAMANO YALIYO ONGOZWA NA “Nyota ndogo in coast province” KUPINGA TABIA YA MUSTAPHA COLONEL on YouTube


Muimbaji wa Kenya, Mwanaisha
Abdallah Mohamed maarufu kama
Nyota Ndogo, ameungana na
wanawake wa Mombasa kufanya
maandamano ya kupinga
udhalilishaji dhidi yao unaofanywa
na rapper, Colonel Mustafa ikiwa ni
pamoja na kupost kwenye mitandao
picha za wanawake wakiwa mtupu.
“Mimi naona kama Mustafa anatusi
muziki, anatusi wanawake, anatusi
mama yake. Kwahiyo Mustafa
aombe msamaha kwa wanawake,”
alisema Nyota Ndogo.
Mustafa anadaiwa kumtumia
Huddah Monroe kujipatia umaarufu
baada ya kutangaza kwenye vyombo
vya habari kuwa wana uhusiano wa
kimapenzi. Baadaye Huddah
alikanusha na kusema yote
yalipangwa.

image

Posted from WordPress for Android,by hailedavy

Advertisements