Brand New VIDEO “Gyptian – Wet Fete ft. Kes The Band | Official Music Video” on YouTube


Summer is getting close, so how about getting a little bit into the groove with Gyptian ‘s brand new video alongside Kes The Band – “Wet Fete” ! The track is taken off Gyptian ‘s highly rated album “Sex, Love & Reggae” released under VP Records . Check it! DOWNLOAD “Gyptian – Sex, Love & Reggae” FROM: iTUNES – AMAZON Posted from WordPress for Android,by … Continue reading Brand New VIDEO “Gyptian – Wet Fete ft. Kes The Band | Official Music Video” on YouTube

NEW Reggae VIDEO “Destra feat. Peetah Morgan – Real Love – J-Vibe Productions – March 2014” on YouTube


Soca Queen Destra and Reggae Regent Peetah Morgan of Morgan Heritage , both vocal titans, clash in the epic ballad “Real Love” produced by internationally acclaimed producer J-Vibe , released March 10th . “I want people to know that timeless music is still being made… Reggae music is not dead, it is the heartbeat of the world.” says Grammy nominated producer Jason Farmer. The track … Continue reading NEW Reggae VIDEO “Destra feat. Peetah Morgan – Real Love – J-Vibe Productions – March 2014” on YouTube

TANGAZO LA SERIKALI: YAHUSU KUVUNJWA KWA TUME YA MABADILIKO KATIBA!


Mhe. Rais aliunda Tume ya Mabadiliko ya Katika kwa mujibu wa kifungu cha 5 na 6 cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura ya 83 kwa Tangazo la Serikali Na.110 la Mwaka 2012. Tume ilikusanya maoni na kuandaa Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo imewasilishwa kwenye Bunge Maalum. Kwa mujibu wa kifungu cha 31 cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura … Continue reading TANGAZO LA SERIKALI: YAHUSU KUVUNJWA KWA TUME YA MABADILIKO KATIBA!

SERIKALI TATU YAZUA MAZITO ZANZIBAR!


Serikali 3 yaibua mazito Zanzibar WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, wametakiwa kuacha tabia ya kuwataja watu wenye asili ya Pemba pekee kuwa ndio wenye msimamo wa kudai Serikali tatu, bali mfumo huo umependekezwa na watu wenye asili tofauti. Kauli hiyo imetolewa na Katibu wa Chipukizi wa CCM, Bw. Muhija Ali Kombo, katika kongamano la wana CCM lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita, Mtoni Wilaya … Continue reading SERIKALI TATU YAZUA MAZITO ZANZIBAR!

93•7 FM DARESSALAAM.ITAKUA NI ZAIDI YA BURUDANI


Baada ya kuwapa story kuhusu ukweli juu ya requency za 93.7 FM DSM ambazo zimeonekana kama ujio mpya wa redio jijini Dar es Salaam leo tunachimba zaidi juu ya redio hiyo ambayo bado jina lake halijajulikana. Katika fuatilia fuatilia yetu tumefanikiwa kupata fununu kuwa bado jina la kituo hicho linafanyiwa kazi kwa kuwataka watu wapendekeze jina wanaloona litafaa. Zaidi ya hapo tumepata data ambazo zinaonyesha … Continue reading 93•7 FM DARESSALAAM.ITAKUA NI ZAIDI YA BURUDANI

Tazama VIDEO mpya ya50¢ akiwa na nguo ZA Kirubani “50 Cent – Pilot (Explicit)” on YouTube


AVERAGE USER RATING: 5.00 3 people have voted. 5 is the most popular ranking. 3 people gave it a perfect five. Cast your vote » As 50 Cent gears up for the release of his upcoming album, “Animal Ambition” due out June 3, he lets loose his latest visuals for “Pilot.” Posted from WordPress for Android,by hailedavy Continue reading Tazama VIDEO mpya ya50¢ akiwa na nguo ZA Kirubani “50 Cent – Pilot (Explicit)” on YouTube