MALAYSIA AIRLINE YATOA LAMBILAMBI KWA KILA MFIWA AMBAYE NDUGUYE ALIKUWA ABIRIA WA NDEGE YAO ILIO PATKANA NA HAKUNA ALIYEPONA


image

Shirika la ndege la Malaysia Airlines
leo Jumanne limesema limetoa $
5,000 ambazo ni takriban shilingi
milioni nane kwa ndugu waliofiwa
kufuatia ajali ya ndege yake ya
MH370. Fedha hizi ni kwa kila abiria
aliyekuwa kwenye ndege hiyo.
Limesema linajiandaa kutoa fedha
zingine za ziada kuwasaidia ndugu
hao. Jitihada za kutafuta mabaki ya
ndege hiyo leo zimekwama kutokana
na hali mbaya ya hewa katika bahari
ya Hindi. Huko Beijing, mamia ya
marafiki na ndugu wa abiria wa
ndege hiyo waliandamana hadi
kwenye ubalozi wa Malaysia
kuelezea hasira zao.
Walidai kuwa walikuwa hawaambiwi
ukweli wa kilichotokea kwenye ndege
hiyo. Mamia ya polisi waliwazuia
watu hao wasiingie kwenye jingo la
ubalozi huo.

Posted from WordPress for Android,by hailedavy

Advertisements