Movie ya NOAH iliyochezwa na RUSSELL CROWE yapigwa marufuku nchini Indonesia


Filamu ya biblia ya Noah, imepigwa marufuku kuoneshwa nchini Indonesia. Filamu hiyo iliyochezwa na Russell Crowe kuelezea story ya Nuhu na Gharika kwenye biblia inatarajiwa kuzinduliwa March 28 nchini Marekani. Nchi nyingi za kiislamu zinatarajiwa kuipiga marufuku. Indonesia inakuwa nchi nyingine baada ya Qatar, Bahrain na Muungano wa Falme za Kiarabu kuipiga marufuku. credits:bongo5.com Posted from WordPress for Android,by hailedavy Continue reading Movie ya NOAH iliyochezwa na RUSSELL CROWE yapigwa marufuku nchini Indonesia

VITAMBUE VYUO VILIVYO FUTWA NA WIZARA YA ELIMU


SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imekunjua makucha yake kwa kutangaza kuvifuta vyuo 10 ambavyo havikusajiliwa na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) . Naibu Waziri wa wizara hiyo, Philip Mulugo, alitoa kauli hiyo jijini Dar es Salaama mbele ya Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii na kuongeza kuwa kufutwa kwa vyuo hivyo ni kutokana na kutokufuata utaratibu wa … Continue reading VITAMBUE VYUO VILIVYO FUTWA NA WIZARA YA ELIMU

GAZETI LA UBELIGIJI LAOMBA LADHI KWA KUMDHIHAKI RAIS OBAMA NA MKEWE


Gazeti la De Morgen nchini Ubelgiji limeomba radhi kwa kitendo chake cha kuchapisha picha na maneno yaliyohashiria vitendo vya ubaguzi wa rangi kwa Rais wa Marekani, barack Obama na mkewe Michelle. Picha hiyo inamuonyesha Rais Obama na mkewe wakiwa kwenye maumbo ya nyani huku picha nyingine ikiwa na ujumbe uliosomeka, ”FIRST BLACK PRESIDENT OF THE USA, STARTS SELLING WEEDS”. Kwa mujibu wa mtandao wa Al … Continue reading GAZETI LA UBELIGIJI LAOMBA LADHI KWA KUMDHIHAKI RAIS OBAMA NA MKEWE