Movie ya NOAH iliyochezwa na RUSSELL CROWE yapigwa marufuku nchini Indonesia


Filamu ya biblia ya Noah, imepigwa
marufuku kuoneshwa nchini
Indonesia. Filamu hiyo iliyochezwa
na Russell Crowe kuelezea story ya
Nuhu na Gharika kwenye biblia
inatarajiwa kuzinduliwa March 28
nchini Marekani.

image

Nchi nyingi za kiislamu zinatarajiwa
kuipiga marufuku. Indonesia inakuwa
nchi nyingine baada ya Qatar,
Bahrain na Muungano wa Falme za
Kiarabu kuipiga marufuku.
credits:bongo5.com

Posted from WordPress for Android,by hailedavy

Advertisements