ALICHOSEMA ALI KIBA KUHUSU WIMBO WA “ROSA ”


Siku kadhaa baada ya kusambaa wimbo ulioaminika kuwa ni wa Ali Kiba ukiwa na jina la Rosa, mwimbaji huyo ameukana wimbo huo na kudai hafahamu lolote kuhusu wimbo huo na hata hajawahi kuusikia. “Nyimbo zipo lakini sija release nyimbo, sijatoa nyimbo so far na sijui nani ameimba na sijawahi hata kuusikia.” Amesema Ali Kiba. Mwimbaji huyo ameongeza kuwa watu wameona yuko kimya na wameamua kutoa … Continue reading ALICHOSEMA ALI KIBA KUHUSU WIMBO WA “ROSA ”

#SONGLYRICS: TRACK – EXODUS, BY BOB MARLEY AND THE WAILERS


Exodus: Movement of Jah people! Oh-oh-oh, yea-eah! ……. Many people will fight ya down (Tell me why!) When ya see Jah light. (Ha-ha-ha- ha-ha-ha-ha!) Let me tell you if you’re not wrong; (Then, why?) Everything is all right. So we gonna walk – all right! – through the roads of creation: We the generation (Tell me why!) (Trod through great tribulation) trod through great tribulation. … Continue reading #SONGLYRICS: TRACK – EXODUS, BY BOB MARLEY AND THE WAILERS

MTANDAO WA TWITTER WAJA NA JIPYA


Mtandao wa Twitter umekuwa ukiongeza huduma ambazo hapo awali hazikuwepo kadri siku zinavyoenda, katika kile kinachoonekana kuwa ni kujaribu kukabiliana na ushindani wa mitandao mingine ya kijamii kama Facebook na Instagram. Mtandao wa twitter sasa unamuwezesha mtumiaji kuweka picha nne katika tweet moja. Mtandao huo pia sasa unampa nafasi mtumiaji uwezo wa kutag marafiki kumi. ‘We’re rolling out two new mobile features that make photos … Continue reading MTANDAO WA TWITTER WAJA NA JIPYA

KAMANDA ADEN DUALE ASEMA MAPENZI ZA JINSIA MOJA (HOMOSEXUALITY )NI JANGA SAWA NA UGAIDI PANDE ZA KENYA


Homosexuality in Kenya is as bad a problem as terrorism, majority parliamentary leader Aden Duale has said, but argued against stepping up legal sanctions on the grounds that existing laws were tough enough. Duale was responding to a group of MPs demanding tougher laws. “Can’t we just be brave enough, seeing that we are a sovereign state, and outlaw gayism and lesbianism, the way Uganda … Continue reading KAMANDA ADEN DUALE ASEMA MAPENZI ZA JINSIA MOJA (HOMOSEXUALITY )NI JANGA SAWA NA UGAIDI PANDE ZA KENYA