MTANDAO WA TWITTER WAJA NA JIPYA


Mtandao wa Twitter umekuwa
ukiongeza huduma ambazo hapo
awali hazikuwepo kadri siku
zinavyoenda, katika kile
kinachoonekana kuwa ni kujaribu
kukabiliana na ushindani wa
mitandao mingine ya kijamii kama
Facebook na Instagram. Mtandao wa
twitter sasa unamuwezesha
mtumiaji kuweka picha nne katika
tweet moja.
Mtandao huo pia sasa unampa
nafasi mtumiaji uwezo wa kutag
marafiki kumi.

image

‘We’re rolling out two new mobile
features that make photos on Twitter
more social,’ alisema mmoja wa
wahusika wa mtandao huo.
Watumiaji wa iPhone ndio
watakaoanza kufaidi maboresho
hayo ya kuweka picha nne katika
tweet moja kuanzia jana, na itakuja
hivi karibuni kwa watumiaji wa
Android na kwenye mtandao wa
twitter.com
special thanks to: bongo5.com

Posted from WordPress for Android,by hailedavy

Advertisements