KUHUSU NCHINI UTURUKI (TURKEY ) KUFUNGIA YOUTUBE


Uturuki imeufungia mtandao wa Youtube, siku chache baada ya kuifungia pia Twitter baada ya mitandao hiyo kutumika kusambaza sauti iliyorekodiwa na inayouweka usalama wa nchi hiyo pabaya. Hatua hiyo ilikuja saa chache baada ya kusambaa kwa sauti kwenye mtandao wa Youtube, zilizokuwa za mkutano wa usalama wa viongozi wakubwa wa serikali kuhusu hatua za kijeshi ndani Syria. Waziri Mkuu, Tayyip Erdogan jana aliwashutumu wapinzani kwa … Continue reading KUHUSU NCHINI UTURUKI (TURKEY ) KUFUNGIA YOUTUBE

VIDEO: “Jay Moe – Juma Nature & Professor Jay JWTZ” on YouTube


Wasanii manguli wa Tanzania ambao majina yao yanaanzia na J, Juma Mchopanga aka Jay Mo, Joseph Haule aka Profesa Jay na Juma Cassim ana Nature wameingia studio kufanya ngoma mpya iitwao ‘JWTZ’. Wimbo huo pamoja na video yake vimefanyika kwenye studio za Williamz Visions chini ya mtayarishaji Mike Mwakatundu aka Mike T. Tazama video inayoonesha wakali hao wakiwa wamevalia nguo halisi za kijeshi pamoja na … Continue reading VIDEO: “Jay Moe – Juma Nature & Professor Jay JWTZ” on YouTube

VIDEO: “Hercules Starring The Rock — Exclusive Trailer” on YouTube


Paramount Pictures and Metro- Goldwyn-Mayer Pictures’ film HERCULES, starring Dwayne Johnson, bows on July 25th. Based on Radical Comics’ Hercules by Steve Moore, this ensemble-action film is a revisionist take on the classic myth, HERCULES. The epic action film also stars Golden Globe Winner Ian McShane, Rufus Sewell, Joseph Fiennes, Peter Mullan and Academy Award®-nominee John Hurt. Posted from WordPress for Android,by hailedavy Continue reading VIDEO: “Hercules Starring The Rock — Exclusive Trailer” on YouTube