VIDEO: “Jay Moe – Juma Nature & Professor Jay JWTZ” on YouTube


Wasanii manguli wa Tanzania
ambao majina yao yanaanzia na J,
Juma Mchopanga aka Jay Mo,
Joseph Haule aka Profesa Jay na
Juma Cassim ana Nature wameingia
studio kufanya ngoma mpya iitwao
‘JWTZ’. Wimbo huo pamoja na video
yake vimefanyika kwenye studio za
Williamz Visions chini ya
mtayarishaji Mike Mwakatundu aka
Mike T. Tazama video inayoonesha
wakali hao wakiwa wamevalia nguo
halisi za kijeshi pamoja na zana
mbalimbali za kivita huku wakipewa
kampani ya wanajeshi hali wa Jeshi
la Wananchi la Tanzania.

Posted from WordPress for Android,by hailedavy