VIDEO: KUHUSU KESI YA OSCAR Pistorius: trial: Illness forces delay until April 7″ on YouTube


Kesi ya mauaji inayomkabili
mwanariadha mlemavu wa Afrika
Kusini, Oscar Pistorius imeahirishwa
Ijumaa hii kutokana na mmoja wa
wasaidizi wa kisheria wa Judge
Thokozile Masipa anayeendesha kesi
hiyo kuugua.
Itaendelea tena April 7 mwaka huu.
Pistorius anakabiliwa na kesi ya
kumuua mpenzi wake Reeva
Steenkamp Feb 14 mwaka jana
Timu ya Pistorius ilikuwa imejiandaa
kuwasilisha utetezi wake Ijumaa hii
huku yeye pia alikuwa akitazamiwa
kusimama kizimbani. Kuahirishwa
huko kunaipa timu yake wiki moja ya
kujiandaa vyema na kesi hiyo.
Kama akipatikana na hatia, Pistorius,
27, anaweza kuhukumiwa kifungo
cha miaka 25 jela.

image

Posted from WordPress for Android,by hailedavy