VIDEO: TANGAZO LILILOFANYIKA NDANI YA NDEGE YA FLY EMIRATES LA Cristiano Ronaldo & Pele ::::: commercial for Fly Emirates and FIFA World Cup 2014″ on YouTube


Straika hatari wa Real Madrid, mreno
Crstiano Ronaldo mapema jana
ametajwa kuwa balozi mpya wa
shirika la ndege la Emirates ambao ni
wadhamini wakuu wa klabu ya
Madrid inayoshirki ligi kuu ya
Hispania ‘La Liga’.
Kwa kuanzia, Ronaldo ameungana
na mchezaji mkongwe wa zamani wa
Brazil, Pele kwa kushiriki kwenye
tangazo la biashara la ndege ya
Emirates lililofanyika angani kwa ajili
ya michuano mikubwa ya kombe la
dunia itakayofanyika nchini Brazil.

image

Posted from WordPress for Android,by hailedavy

Advertisements