KIPANDE CHA VIDEO YA WASANII 22 TOKA AFRICA “La plus grande collaboration musicale africaine : sortie le 31 mars” on YouTube


Video ya wimbo uliofanywa na
wasanii 22 wa Afrika kuhusiana na
kampeni ya ‘Do Agric’ ya mradi wa
One Campaign uitwao, ‘Cocoa na
Chocolate’ itatoka leo March 31. Kwa
sasa tazama vipande vya video hiyo
hapa.
Video na wimbo huo vilifanyika hivi
karibuni nchini Afrika Kusini ambapo
D’Banj aliongoza wasanii wengine
wakiwemo Buffalo Souljah
(Zimbabwe), Judith Sephuma (South
Africa), Vusi Nova (South Africa), Liz
Ogumbo (Kenya), Nancy G
(Swaziland), Dama Do Bing
(Mozambique), Diamond (Tanzania),
Femi Kuti (Nigeria), Rachid Taha
(Algeria), Juliani (Kenya), Omawumi
(Nigeria), Tiken Jah Fakoly (Cote
d’Ivoire), Fally Ipupa (DRC), Kunle
Ayo (Nigeria), Wax Dey (Cameroon),
Victoria Kimani (Kenya), Ambwene
Allen Yessayah (Tanzania), na
Dontom (Nigeria).
Wimbo ulitayarishwa kwa ushirikiano
wa Cobhams Asuquo na DeeVee wa
DB Records huku video ikifanywa na
Godfather Productions.

Posted from WordPress for Android,by hailedavy